Marie ines DurantonMay 18, 2026
Hili ni somo la 10 kati ya 12 katika mada: Darasani
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
a. Kutamka Silabi na maneno kutokana na sauti lengwa ipasavyo.
b. Kusikiliza kwa makini mwalimu anaposoma hadithi.
c. Kuandika herufi kubwa na ndogo kwa hati nadhifu.
For detailed notes on this lesson and supplemental resources be sure to check out the EasyElimu Study App. It's available for download here: https://bit.ly/EasyElimuStudyApp