♥෴♡☬ AMMU DINA ☬♡෴♥May 18, 2026
Hili ni somo la 1 kati ya 7 katika mada: Familia
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze:
a. Kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno ili kuimarisha mazungumzo
b. Kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma
c. Kutambua uhusiano wa watu wa familia.
For detailed notes on this lesson and supplemental resources be sure to check out the EasyElimu Study App. It's available for download here: https://bit.ly/EasyElimuStudyApp