Seafood

Namna rahisi yakupika Seafoods na rojo lake utajiramba vidole //Chakula kinachotrend dunia nzima

20255m★ 7.3
SeafoodOne-pot

Nimechemsha 🦐 kamba, kalamari, unaweza kuongeza samaki wengne ukipenda (samaki wa kaa) ongeza mahindi 🌽 na viazi siagi 250g cayenne vijiko 2 vya chakula Kajuni vijiko 2 vya chakula & 1/2 Chumvi Kijiko 1 au kijiko 1 cha pilipili nyeusi Oregano & rosemary kijiko 1 cha kula Juisi ya limao 5 Pilipili ya limao kijiko 1 cha chakula Vijiko 3 vya vitunguu Mimina vitunguu vipande vidogo Asali au sukari 2-4 vya kula Kijiko 1 cha pilipili (masala) Vijiko 2 vya paprika Kisha chukua mfuko wa plastiki weka vyakula vyako vya seafoods vilivyochemshwa ,mahindi, viazi na mimina rojo changanya vizuri kisha weka anda enjoy xxxx….

آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے