الرياضيات
Discussion Segment - Ubongo Kids Singalong
20144m★ 0
الرياضيات
Imba na Ngedere! Hii nyimbo inafundisha kuhusu sehemu rahisi na sehemu isiyorahisi. Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. /ubongokids /ubongokids /ubongotz Copyright Ubongo Ltd. 2014
قد يعجبك أيضًا
اختيارات مميزة
هل تريد المزيد من الترفيه؟ استكشف منصة الألعاب المقترحة ووجهة الدراما القصيرة التي نوصي بها.


