ASUBUHI NJEMA By Msanii Music Group // SMS SKIZA 7639861 TO 811
Asubuhi Njema-That Bright Morning Sweet Old Song Previous Recorded by Shauri Moyo SDA Choir and performed, Golden Gates Uganda and many other Choirs in East Africa Lyrics Asubui njema asubui ya furaha, tutakapovuka mto wa yorodani, tukishangilia tukiinba kwa furaha, (haleluyha haleluyha na asifiwe)*2 Churus : Washindi watafurahi kukanyaga nchi mpya taabu zote eeeh watazisahau pale!,wakiingia mjini wataonana na yesu,atawafuta machozi kwa furaha kwa furaha*2 Tutakapofika katika mji ule, mji mtakatifu makaoni pa mungu, kitini cha enzi,aketiye baba mungu, (tutakaribishwa pamoja na mwokozi)*2 Nyimbo za furaha,tutaziimba pale, tukipongezana kupeana mikono tukitabasamu,tabasamu za hakika, (sifa na heshima zote ni kwa yehova)*2 TO GET THIS SONG AS YOUR SKIZA TUNE SIMPLY SMS SKIZA 7639861 TO 811
کاسٹ
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
Featured Picks
مزید entertainment چاہتے ہیں؟ ہمارے recommended gaming hub اور short-drama destination کو explore کریں۔


