Matematika
Ubongo Kids Webisode 39 - Menghitung dengan Batu | Season 3 Ubongo Kids
201726m★ 0
Matematika
Angalia webisode za msimu wa tatu wa Ubongo Kids hapa hapa! Ubongo Kids Webisode 39 - "Kuhesabu kwa Kuruka" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1! Jifunza hisabati ya kujumlisha kwa kubeba kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon! Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. /ubongokids /ubongokids /ubongotz An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.
Mungkin Anda Juga Suka
Pilihan Unggulan
Ingin hiburan tambahan? Jelajahi hub game rekomendasi kami dan destinasi short drama pilihan.


