Obby Alpha- Washangaze (official Video) FOR SKIZA SMS 9514302 TO 811
Song Written By @ObbyAlpha Video By @Joowzey Audio By @TerriyoMonster Under @GanjiKindooo Ent Washangaze Bwana washangaze Washangaze Bwana washangaze Weka tabasamu usoni kwangu Ili wajue wewe unaweza Weka tabasamu usoni kwangu Ili wajue wewe unaweza Nina imani nawe Mungu wangu Nina imani nawe Bwana wangu Kama kulia mbona nimelia sana, Nimetoshekaa aah Kama kuchekwa mbona nimechekwa sana ,Nimetosheka bwana wangu eeh Ni wewe pekee wa kunifutia aibu Wapi nipeleke yangu majaribu Na naona soni kuyasimulia Kwa watu usoni ninayoyapitia Na Najua unaweza kufanya ya ajabu ,Zaidi ya yaliyoandikwa kwenye vitabu Washangaze Bwana washangaze Washangaze Bwana washangaze Weka tabasamu usoni kwangu Ili wajue wewe unaweza Weka tabasamu usoni kwangu Ili wajue wewe unaweza Natambaa Bwana natambaa nahitaji msaada wako natamani tembea Natembea bwana natembea nahitaji msaada wako natamani kimbia Pengine Imani yangu ndogo nikashindwa vumilia Nisije ulaumu moyo yakija nizidiaa Nifundishe kushukuru baba Hata kwa kidogo kile ulichonipa. Na tena nitambue uzima huu ni nema, Sijagharamia bure Bwana umenipa. Naona baridi Baba nivike Nikiwa mkaidi unifundishe Ninajitahidi mi nikushike Kwamaana siwezi nikiwa peke Niwewe pekee wa kunifutia aibu Wapi nipeleke yangu majaribu Na naona soni kuyasimulia Kwa watu usoni ninayoyapitia Na Najua unaweza kufanya ya ajabu ,Zaidi ya yaliyoandikwa kwenye vitabu hivo naomba bwana Washangaze Bwana washangaze Washangaze Bwana washangaze Weka tabasamu usoni kwangu Ili wajue wewe unaweza Weka tabasamu usoni kwangu Ili wajue wewe unaweza #ObbyAlpha #Washangaze #WekaTabasamu #Gospelsong #Gospelmix #Gospel #GospelTanzania #AfricanGospel
Pemeran
Mungkin Anda Juga Suka
Pilihan Unggulan
Ingin hiburan tambahan? Jelajahi hub game rekomendasi kami dan destinasi short drama pilihan.


