Seafood
Namna rahisi yakupika Seafoods na rojo lake utajiramba vidole //Chakula kinachotrend dunia nzima
20255mβ
7.3
SeafoodOne-pot
Nimechemsha π¦ kamba, kalamari, unaweza kuongeza samaki wengne ukipenda (samaki wa kaa) ongeza mahindi π½ na viazi siagi 250g cayenne vijiko 2 vya chakula Kajuni vijiko 2 vya chakula & 1/2 Chumvi Kijiko 1 au kijiko 1 cha pilipili nyeusi Oregano & rosemary kijiko 1 cha kula Juisi ya limao 5 Pilipili ya limao kijiko 1 cha chakula Vijiko 3 vya vitunguu Mimina vitunguu vipande vidogo Asali au sukari 2-4 vya kula Kijiko 1 cha pilipili (masala) Vijiko 2 vya paprika Kisha chukua mfuko wa plastiki weka vyakula vyako vya seafoods vilivyochemshwa ,mahindi, viazi na mimina rojo changanya vizuri kisha weka anda enjoy xxxxβ¦.
Mungkin Anda Juga Suka
Pilihan Unggulan
Ingin hiburan tambahan? Jelajahi hub game rekomendasi kami dan destinasi short drama pilihan.


