Ubongo Kids Kiingereza: Top 5 MOMENTO NG PAGKAKAPILIPINO NG BABAENG BATA sa Ubongo Kids
Wasichana Tunaweza! Angalia video hii ya Ubongo Kids KWA KIINGEREZA: Top 5 Girl Power Moments in Ubongo Kids! Endelea kuangalia kwenye TV kuiona kwa Kiswahili! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
Maaari Mo Ring Magustuhan
Featured Picks
Naghahanap pa ng mas maraming entertainment? Tuklasin ang aming recommended gaming hub at short-drama destination.


