Ebanghelyo
Mt. Kizito Makuburi - Tegemeo Letu (Official Music Video)
20258m★ 7.8
Ebanghelyo
Maisha yana changamoto nyingi na mapito mbalimbali. Mungu mara zote anatupa mlango wa kutokea tukiamini na tukimtegemea yeye peke yake kwa kuwekeza mioyo na nafsi zetu kwake, tukimuomba na kumuamini, hakika atatuvusha katika changamoto zetu zote. Karibu kutazama wimbo Tegemeo letu uliotungwa na Zacharia Gerald na kuimbwa na Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi. WIMBO: TEGEMEO LETU MTUNZI: ZACHARIA GERALD WAIMBAJI: KMKMAKUBURI ORGANIST : COLMAN UFUNGUO & ALPHONCE MVILLE PERCUSSION : VINNY MUKASA DRUMS : FREDY MWESIGA AUDIO: PRO STUDIOS VIDEO: BUGATI PRODUCTION MUSIC NOTE: https://www.kmkmakuburi.co.tz/pdf/tegemeo-letu
Maaari Mo Ring Magustuhan
Featured Picks
Naghahanap pa ng mas maraming entertainment? Tuklasin ang aming recommended gaming hub at short-drama destination.


